BlueGlobe International
My status

Translation Services

Translation Services

Career With BlueGlobe

Banner
Banner
Banner

SAIC

"SAIC is a FORTUNE 500® scientific, engineering, and technology applications company that uses its deep domain knowledge to solve problems of vital importance to the nation and the world, in national security, energy and the environment, critical infrastructure, and health. BlueGlobe International LLC consistently provides language services on a global scale which meet the strict vendor standards required by SAIC."


Fulbright

"BlueGlobe cares .. our expectations were exceeded with accuracy and promptness. A long term relationship will benefit our firm and yours."


Crowell-moring

"Thanks again for extra-ordrinary services."


AAAS

"Friendly staff combined with unusual promptness and services will see our association always requesting BlueGlobe."

* For Translation - click flag

Huduma za Kutafsiri Kiswahili

Swahili

BlueGlobe International - ina wafsiri wenye sifa zinazostahili wa lugha ya Kiswahili

Wafasiri wetu weledi wa lugha ya Kiswahili wanatoa huduma za kutafsiri wakiwa na ujuzi kamili wa lugha zote mbili, ya asili na inayotafsiriwa, pamoja na maudhui. Ikiwa na mikataba na wafasiri weledi wa lugha ya Kiswahili , BlueGlobe inaweza kutafsiri aina yoyote au kiwango chochote cha gange, ikiwemo pamoja na: kurasa za tovuti, barua pepe, barua, magazeti, nyaraka za kisheria, za tiba na za kiufundi, vitabu, maelezo ya mapishi, orodha za vyakula, n.k. hata chanjo! Hivyo, tunatafsiri gange za aina nyingi tofauti: Sheria, fedha, tiba, ufundi, elimu ya soko, n.k. Tuko makini sana kuepukana na tafsiri mbaya au potovu, BlueGlobe ina wapa uhakika wateja wake kwamba kazi zote wanazo kabidhi zitafsiriwa na mfasiri ambaye lugha yake ya asili ni Kiswahili . Mfasiri anaepewa gange lazima awe na ujuzi unaoweza kuthibitishwa na ufahamu unaostahili katika fani ya kazi ya mteja Licha ya vitu vya msingi vya kawaida, ataelewa pia mambo ya "unyeti wa lugha" yaliyo muhimu kufankisha tafsiri iliyo timilifu.

Kwanini utumie huduma za BlueGlobe International?

Kwa kuwa tunaona fahari kubwa katika kazi yetu na tunajali matokeo ya kazi nzuri! Tukiongoza katika soko la kimataifa la huduma za lugha (utafsiri, ukalimani, uandishi wa matangazo, asilisha (localization), n.k.), tuna uwezo wa kutoa huduma ulimwenguni kote kwa watu binafsi na kwa biashara. Ili tuweze kurejeshea wateja wetu tafsiri zenye usahihi wa 100%, tumeweka mfululizo safu wa upimaji ubora katika kila ngazi ya utafsiri. Kutokuwa kwako na hofu ni muhimu kwa BlueGlobe na tutahakikisha kwamba utapata kazi yenye ubora unaostahili na unaotegemewa.

 • Mamia ya Lugha kuu za ulimwenguni
 • Fani za Utaalamu zote
 • Bei za kuzidi ushindani wowote
 • Huduma Bora
 • Kiwango cha juu kabisa cha huduma kwa wateja
 • Kampuni ya utafsiri inayokua haraka kuliko zote duniani
 • Mamia ya watoaji huduma za lugha waliothibitishwa
 • Dhana ya kufanya kazi ya kikoa kuanzia mwanzo mpaka mwisho
 • Upatikanaji kwa masaa 24 kwa siku na kwa siku 7 kwa wiki

Mpango wetu wa Uhakikishaji Ubora wa hatua 10

Ufuataji wetu wa mpango wetu wa uhakikishaji ubora unaokwenda kwa hatua hadi hatua unaleta uhakika wa ubora wa juu kabisa, katika gange za utafsiri za Kiswahili:

 1. Kila gange ya utafsiri katika lugha ya Kiswahili inachanganuliwa na mkuu wa gange mwenye sifa zinazostahili
 2. Mpango wa utondoni wa tafsiri utaundwa na mkuu wa gange
 3. Gange ya utafsiri itapangiwa mfasiri mweledi
 4. Hifadhi data ya istilahi itaundwa kwa ajili ya gange hiyo pekee
 5. Kitendea kazi cha tarakilishi kitatengwa kwa ajili ya gange hiyo
 6. Gange hiyo itatafsiriwa katika lugha ya Kiswahili
 7. Uchunguzi wa upimaji Ubora unafanywa wakati wote
 8. Kazi iliyotafsiriwa itawekwa katika fomati inaostahili (DTP)
 9. Kazi nzima iliyotafsiriwa itasahihishwa prufu kwa mara ya pili na mzunguzaji lugha wa asili
 10. Itapitiwa kwa mara ya mwisho na mfasiri na mkuu wa gange hiyo na - kurejeshwa kwa mteja

Mtandao wetu wa ulimwengu mzima wa wafasiri weledi na wenye ujuzi unahakikishia BlueGlobe uwezo wa kurejesha katika muda mfupi, hata gange kubwa kwa haraka. Bila kujali mahitaji ya lugha ya mwanzo kwenda kwenye lugha ya tafsiri, iwe Kiswahili kwenda kwenye Kiingereza (cha Marekani), Kiingereza (cha Marekani) kewnda kwenye Kiwahili, au mchanganyiko mwingine wowote wa lugha (Kichina-Kiitaliano, Kidanish-Kijapan, n.k), usahihi na ubora wa gange yako ya tafsiri inadhaminiwa na BlueGlobe International.

Bei za kutafsiri - lugha ya Kiswahili

Kuna mambo kadhaa (uainisho wa maandishi, tarehe ya mwisho ya kukamilishwa iliyoombwa, idadi ya maneno ya kazi ya maandishi, aina ya fomati, n.k.) ambayo yanatiliwa maanani katika kupanga bei ya gange ya tafsiri. Kupata bei iliyo sahihi, bofya tu (Request Quote) alafu jaza fomu ya mkondoni. Majalada ya nyaraka husika yanaweza kutumwa kwa barua pepe kama ipaswavyo, ili kuwasilisha habari na maelezo yanayohitajika kuweza kupata bei sahihi, isiyo na gharama zilizojificha.

BlueGlobe International inapatikana wakati wowote kutoa huduma kwa wateja wake kwa masaa 24 kwa siku na kwa siku 7 kwa wiki. Wafanyakazi wetu wenye kauli nzuri watafanya kila kiwezekanacho kukusaidia na kazi yako ya maandishi.

Opereta wa simu wa lugha:
Kiingereza - Kirusi - Kispanish
+1.541.330.0450 (USA)

Kituo cha msaada kwa Barua pepe (24/7) upatikana kwa lugha za:
Kiingereza - Kirusi - Kispanish
This e-mail address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it

Faragha & Huduma

Hapa BlueGlobe International tunathamini faragha ya wateja wetu kuzidi vitu vyote. Uwe na imani kwamba nyaraka zote, kazi, barua pepe, barua, maelezo, n.k .vitahifadhiwa kufuata mwongozo wa ulinzi mkali wa faragha. Lengo letu ni kuondoa hofu kwa kila mteja na kumfanya awe na imani na huduma zetu, tafadhali tazama tovuti yetu na pitia Sera yetu ya Faragha. Ukurasa huu utawafahamisha wateja juu ya aina ya habari tunazo kusanya, namna zinavyolindwa na machaguo yote juu ya namna habari inavyo tumika. Tunakuhimiza upakue Sera yetu ya Faragha ili uweze kuelewa kikamilifu msimamo wetu kuhusu huduma na faragha. Hata hivyo, tunashukuru kwa mchango wako na kujumuikaji wako nasi! Kwa kuendeleza kiwango cha juu cha maadili na msimamo wa huduma usio na mfano, BlueGlobe inajivuna kuweza kujijengea wateja wanaoamini kampuni yetu kikamilifu na gange zao na maelezo yao binafsi. Wateja wanaorudi tena na kazi nyingine, ndio mali yetu kuu.

Imetafsiriwa na Angelica Christin

Contact Us Unatafuta amali?

Je,wewe ni mweledi mjuzi ambae unaujuzi wa huduma za lugha? Kama ni hivyo, tunakukaribisha kujaza fomu ya maombi ya mkondoni katika tovuti hii! Ni bure, rahisi na itakuchuku dakika 5-7.

Contact Us Msahihisha prufu bingwa!

Unaujuzi na mazoea kama msahihisha prufu? Umesomea au kufunzwa katika fani maalum? Jiunge na kundi la wazungumza lugha wa asili wanaopenda kazi yao ya kusisimua!

Contact Us Ujuzi

Katika kampuni ya BlueGlobe International, kazi isiyo na sifa ya juu kabisa haikubaliki. Ubora wa juu kabisa ndio kiwango chetu cha kawaida. Wateja wetu ni wateja wanaokaa wakirudi kwa sababu ya ujuzi wetu mkubwa.

Contact UsWasiliana nasi

Makampuni ulimwenguni kote utuamini -
... na karibuni, wewe pia

Simu:
+1.541.330.0450
+55.21.2240.9271
+91.172.2561020
Simu ya mkononi:
+1.541.306.7420
+55.21.2262.1793
+91.981.4535577
Faksi (USA-Argentina-India):
+1.541.330.0451
+55.21.2240.9271
+91.172.2561020

www.blueglobetranslations.com

Tunatoa huduma za kutafsiri -
... katika mamia ya lugha

Kiarabu Kiebrania
Kichina Kiitaliano
Kiholanzi Kijapani
Kiingereza Kilatini
Kifaransa Kireno
Kijerumani Kirusi
Kigiriki Kihispania
Lugha zote

Professional Translation Services Company

Request a Quote

 

feed-image Feed Entries

Get your FREE QUOTE now or call us directly at 1.541.330.0450 or 541.213.8526 (USA)